Psalms 74:14

14 aNi wewe uliyeponda vichwa vya Lewiathani
Lewiathani ni mnyama mkubwa wa baharini mwenye magamba anayefanana na joka kubwa, mwenye umbo la kutisha, asiyeweza kuvuliwa.

nawe ukamtoa kama chakula
kwa viumbe vya jangwani.
Copyright information for SwhNEN